Kwa Upendo wa Kristo Tutumikie na Kuwajibika
WAWATAWAWATAWanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA)
WANAWAKE WAKATOLIKI TANZANIA

Kwa Upendo wa Kristo Tutumikie na Kuwajibika

Tukiunganishwa katika imani na utume, tunahudumia Kanisa, familia na jamii kwa upendo, mshikamano na uwajibikaji.

ImaniUtumeHuduma
WAWATA
Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA)Kwa Upendo wa Kristo Tutumikie na Kuwajibika
0Wanachama waliosajiliwa
1Ngazi za WAWATA
0Miradi inayoendelea
1972Ilianzishwa
01

KUHUSU WAWATA

Wanawake katika utume wa Kanisa na huduma kwa jamii.

Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) ni chombo cha kuwaunganisha wanawake Wakatoliki ili wakue katika imani, wajenge familia bora za Kikristo na kulitumikia Kanisa na jamii kupitia malezi ya kiroho, matendo ya huruma, maendeleo na uwajibikaji.

Maisha na utume wake huanzia katika Jumuiya Ndogo za Kikristu, Vigango na Parokia, kupitia Majimbo hadi ngazi ya Taifa.

Soma historia ya WAWATA →

HABARI ZA UTUME

Habari za karibuni kutoka WAWATA

Habari zote →

TUSHIRIKIANE KATIKA UTUME

Familia ya imani, huduma na uwajibikaji.

Fuata shughuli za WAWATA katika ngazi yako na ushiriki katika malezi, matukio, matendo ya huruma na shughuli za maendeleo ya Kanisa na jamii.

MAWASILIANO

Wasiliana na WAWATA Tanzania

Kwa taarifa kuhusu utume, matukio, programu na shughuli rasmi za WAWATA, tumia mawasiliano hapa chini.

Barua pepe—
Simu—
AnwaniDar es Salaam, Tanzania